Ustaarabu
IQNA - Ni Uislamu pekee unaotoa mbadala kwa ustaarabu unaotawala wa Magharibi leo, rais wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) alisema.
Habari ID: 3478836 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la siku moja limefanyika nchini Tanzania, likilenga kuimarisha na kukuza umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476377 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/09
Elimu katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Wawakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa na Chuo Kikuu cha Kampala cha Uganda wametia saini Mkataba wa Maelewano unaolenga kuboresha ushirikiano wa kielimu baina ya nchi hizo mbili.
Habari ID: 3475746 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/07
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu na Hadithi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa ni tukio kubwa zaidi la Qur'ani Tukufu na Hadithi Duniani.
Habari ID: 3474996 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Zanzibar amezitaja shughuli za kielimu na kimaarifa zinazofanywa na tawi la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kuwa ni muhimu na kutangaza kuunga chuo hicho katika shughuli zake eneo la Zanzibar nchini Tanzania.
Habari ID: 3474976 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/26
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) Tawi la Tanzania kimeanza mwaka mpya wa masomo katika sherehe iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3474812 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/16
TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
Habari ID: 3473443 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10
TEHRAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al MustafaSAW kimetoa taarifa na kueleza kuwa hatua ya serikali ya Markani ya kukiwekea vikwazo chuo hicho ni mfano wa wazi wa siasa za kupinga elimu.
Habari ID: 3473442 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10
TEHRAN (IQNA)- Katika muendelezeo wa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imetangaza vikwazo dhidi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW na balozi wa Iran nchini Yemen Hassan Irloo.
Habari ID: 3473440 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW kimetoa taarifa na kulaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu kuendelea kushikiliwa kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim al-Zakzaky na mke wake, pamoja na kuwa hali yao ya kiafya imezorota.
Habari ID: 3472285 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa SAW kimetangaza kuanza kusajili majina ya wanachuo wa kigeni nchini Iran watakaoshiriki katika Olimpiadi ya 23 ya Kimataifa ya Qur’ani na Hadithi.
Habari ID: 3471181 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/19